Ufunua wa Yohana 12:7-10
Neno: Bibilia Takatifu
Vita Mbinguni
7 Kisha kukazuka vita mbinguni: Mikaeli na malaika wake waki pigana na hilo joka. Joka nalo pamoja na malaika wake likapigana nao. 8 Lakini joka na malaika wake wakashindwa na hapakuwa tena na nafasi kwa ajili yao mbinguni. 9 Basi joka hilo kuu likatupwa nje, yule nyoka wa kale aitwaye Ibilisi na Shetani, adanganyaye watu wote ulimwenguni. Alitupwa chini ardhini, yeye pamoja na malaika wake.
Ushindi Mbinguni Watangazwa
10 Kisha nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema, “Sasa umeti mia wokovu na uweza na Ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake yamefika. Kwa kuwa mshtaki wa ndugu zetu anayewashtaki mbele za Mungu usiku na mchana ametupwa chini.
Read full chapter

Read full chapterCopyright © 1989 by Biblica