Font Size
Ufunua wa Yohana 14:6-7
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 14:6-7
Neno: Bibilia Takatifu
Malaika Watatu
6 Kisha nikamwona malaika mwingine akiruka juu angani akiwa na Injili ya milele ya kuwatangazia watu wote waishio duniani: kwa mataifa yote, makabila yote, kwa watu wa lugha zote na watu wa aina zote. 7 Akasema kwa sauti kuu, “Mcheni Mungu na kumtu kuza kwa maana saa ya kutoa hukumu yake imefika. Mwabuduni yeye aliyeumba mbingu, dunia, bahari na chemchemi za maji.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica