Add parallel Print Page Options

37 Yesu akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na akili yako yote.’(A) 38 Hii ndiyo amri ya kwanza na ya muhimu zaidi. 39 Na amri ya pili ni kama ya kwanza: ‘Mpende jirani yako[a] kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’(B) 40 Sheria yote na maandiko ya manabii yamejengwa katika amri hizi mbili.”

Read full chapter

Footnotes

  1. 22:39 jirani yako Mafundisho ya Yesu katika Lk 10:25-37 yanaonesha kwa uwazi kuwa hii ni pamoja na yeyote mwenye uhitaji.