Yesu Awatuma Wanafunzi Wake Kumi Na Wawili

10 Ndipo Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa mamlaka ya kutoa pepo wachafu na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.

Read full chapter