Add parallel Print Page Options

47 Na ikiwa mnakuwa wema kwa rafiki zenu tu, ninyi si bora kuliko wengine. Hata watu wasiomjua Mungu ni wakarimu kwa rafiki zao pia. 48 Ninalosema ni kuwa, mkue hata kufikia upendo kamili[a] alionao baba yenu wa Mbinguni kwa watu wote.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:48 kamili Neno “kamilifu”, hapa lina maana “imeendelezwa kwa ukamilifu”, na inaelezea aina ya upendo ambao watoto wanaweza kujifunza kutoka kwa baba.

47 And if you greet only your own people, what are you doing more than others? Do not even pagans do that? 48 Be perfect, therefore, as your heavenly Father is perfect.(A)

Read full chapter

47 And if ye salute your brethren only, what do ye more than others? do not even the publicans so?

48 Be ye therefore perfect, even as your Father which is in heaven is perfect.

Read full chapter

47 If you are friendly only to your friends, how are you different from anyone else? Even the heathen do that. 48 But you are to be perfect, even as your Father in heaven is perfect.

Read full chapter