Font Size
Mathayo 3:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 3:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
8 Muibadili mioyo yenu! Na muoneshe kwa vitendo kuwa mmebadilika. 9 Ninajua mnachofikiri. Mnataka akasema kuwa, ‘lakini Ibrahimu ni baba yetu!’ Hiyo haijalishi. Ninawaambia Mungu anaweza kumzalia Ibrahimu watoto kutoka katika mawe haya. 10 Shoka limewekwa tayari kukata shina la mti katika mizizi yake. Kila mti[a] usiozaa matunda mazuri utakatwa vivyo hivyo na kutupwa motoni.
Read full chapterFootnotes
- 3:10 mti Watu wasiomtii Mungu ni kama “miti” itakayokatwa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International