Add parallel Print Page Options

ghafla Yesu alisimama mbele yao. Akasema, “Salamu!” Wanawake wakamwendea wakamshika miguu na wakamwabudu. 10 Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie wafuasi wangu[a] waende Galilaya, wataniona huko.”

Taarifa ya Kufufuka Yesu Yawafikia Viongozi wa Kiyahudi

11 Wanawake wakaenda kuwaambia wafuasi. Na wakati huo huo baadhi ya askari waliokuwa wanalinda kaburi waliingia mjini. Walikwenda kuwaambia viongozi wa makuhani kila kitu kilichotokea.

Read full chapter

Footnotes

  1. 28:10 wafuasi wangu Kwa maana ya kawaida, “ndugu zangu”.