Font Size
Mathayo 28:18-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 28:18-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
18 Kisha Yesu akawajia na akasema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Hivyo nendeni ulimwenguni kote mkawafanye watu kuwa wafuasi wangu. Mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
Read full chapter
Mathayo 28:18-20
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 28:18-20
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
18 Kisha Yesu akawajia na akasema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Hivyo nendeni ulimwenguni kote mkawafanye watu kuwa wafuasi wangu. Mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. 20 Wafundisheni kutii kila kitu nilichowaambia. Na tambueni hili: Niko pamoja nanyi daima. Na nitaendelea kuwa pamoja nanyi hata mwisho wa wakati.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International