Font Size
Mathayo 28:14-16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 28:14-16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
14 Gavana atakaposikia juu ya hili, tutazungumza naye ili msiadhibiwe.” 15 Hivyo wale askari wakachukua pesa na kuwatii makuhani. Na jambo hili[a] bado linasambaa miongoni mwa Wayahudi hata hivi leo.
Yesu Azungumza na Wafuasi Wake
(Mk 16:14-18; Lk 24:36-49; Yh 20:19-23; Mdo 1:6-8)
16 Wale wafuasi kumi na mmoja walikwenda Galilaya, kwenye mlima ambao Yesu aliwaambia waende.
Read full chapterFootnotes
- 28:15 jambo hili Uongo kuwa mwili wa Yesu uliibwa usiku na wafuasi wake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International