Add parallel Print Page Options

13 na kuwaambia, “Waambieni watu kuwa wafuasi wake walikuja usiku na kuuiba mwili mlipokuwa mmesinzia. 14 Gavana atakaposikia juu ya hili, tutazungumza naye ili msiadhibiwe.” 15 Hivyo wale askari wakachukua pesa na kuwatii makuhani. Na jambo hili[a] bado linasambaa miongoni mwa Wayahudi hata hivi leo.

Read full chapter

Footnotes

  1. 28:15 jambo hili Uongo kuwa mwili wa Yesu uliibwa usiku na wafuasi wake.