Add parallel Print Page Options

12 Ndipo makuhani wakakutana na viongozi wazee wa Kiyahudi na kufanya mpango. Wakawalipa wale askari pesa nyingi 13 na kuwaambia, “Waambieni watu kuwa wafuasi wake walikuja usiku na kuuiba mwili mlipokuwa mmesinzia. 14 Gavana atakaposikia juu ya hili, tutazungumza naye ili msiadhibiwe.”

Read full chapter