Font Size
                  
                
              
            
Mathayo 28:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 28:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
10 Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie wafuasi wangu[a] waende Galilaya, wataniona huko.”
Taarifa ya Kufufuka Yesu Yawafikia Viongozi wa Kiyahudi
11 Wanawake wakaenda kuwaambia wafuasi. Na wakati huo huo baadhi ya askari waliokuwa wanalinda kaburi waliingia mjini. Walikwenda kuwaambia viongozi wa makuhani kila kitu kilichotokea. 12 Ndipo makuhani wakakutana na viongozi wazee wa Kiyahudi na kufanya mpango. Wakawalipa wale askari pesa nyingi
Read full chapterFootnotes
- 28:10 wafuasi wangu Kwa maana ya kawaida, “ndugu zangu”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) 
    © 2017 Bible League International