Add parallel Print Page Options

46 Simameni! Tuondoke. Tazama yeye atakayenikabidhi anakuja.”

Yesu Akamatwa

(Mk 14:43-50; Lk 22:47-53; Yh 18:3-12)

47 Yesu alipokuwa anazungumza, Yuda mmoja wa wanafunzi wake kumi na mbili alifika akiwa na kundi kubwa la watu, waliokuwa wamebeba majambia na marungu. Walikuwa wametumwa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu. 48 Yuda aliyekuwa amkabidhi Yesu kwao, alipanga kufanya kitu cha kuwajulisha yupi kati ya wafuasi alikuwa Yesu. Alisema, “Mtu nitakayembusu ndiye mtakayemkamata.”

Read full chapter