Font Size
Mathayo 11:28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 11:28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
28 Njooni kwangu ninyi nyote mliochoka kutokana na mizigo mizito mnayolazimishwa kubeba. Nitawapa pumziko.
Read full chapter
Mathayo 11:29
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 11:29
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
29 Chukueni nira yangu,[a] jifunzeni kutoka kwangu. Mimi ni mwema na mnyenyekevu katika roho. Nanyi mtaweza kupumzika.
Read full chapterFootnotes
- 11:29 nira yangu Nira iliwekwa shingoni mwa mnyama anayefanya kazi ili kuvuta mzigo. Ilikuwa pia ni alama ya Kiyahudi kwa sheria. Tazama Mdo 15:10; Gal 5:1. Ilikuwa pia alama ya kutawaliwa na taifa katili la kigeni, kama vile Ufalme wa Rumi.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International