Font Size
Matendo Ya Mitume 9:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 9:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Kuokoka Kwa Sauli
9 Wakati huu wote Sauli alikuwa bado anaendelea na vitisho vyake vya kuwaangamiza kabisa wanafunzi wa Bwana. Akaenda kwa Kuhani Mkuu, 2 akamwomba ampe barua ya kumtambulisha kwa masina gogi ya huko Dameski, ili akiwapata wafuasi wa ile ‘Njia
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica