Font Size
Matendo Ya Mitume 8:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 8:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 Filipo akaondoka akaenda. Wakati huo Mwethiopia mmoja, towashi, ambaye alikuwa waziri wa fedha wa Kandake, Malkia wa Ethiopia, alikuwa anarudi nyumbani baada ya kumwabudu Mungu huko Yerusalemu. 28 Alikuwa amekaa kwenye gari la kuvutwa na farasi akielekea makwao, akisoma kitabu cha nabii Isaya. 29 Roho wa Mungu akamwambia Filipo, “Nenda kasimame karibu na lile gari.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica