11 Waamini wote na watu wote waliosikia habari hizi wakajawa na hofu kuu.

Mitume Wafanya Miujiza Mingi Na Maajabu

12 Mitume walifanya miujiza mingi na ishara za ajabu. Na waamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Sulemani. 13 Hakuna mtu mwingine aliyethubutu kujiunga nao lakini watu wote waliwaheshimu sana.

Read full chapter