Font Size
Matendo Ya Mitume 24:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 24:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Unaweza kuhakikisha kwa urahisi kuwa hazijapita zaidi ya siku kumi na mbili tangu nilipokwenda Yerusalemu kuabudu. 12 Hawa wanaonish taki hawakunikuta nikibishana na mtu ye yote au nikianzisha fujo katika Hekalu au katika sinagogi au mahali pengine po pote mjini. 13 Wala hawawezi kabisa kuthibitisha mambo haya wanayon ishtaki.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica