Font Size
Matendo Ya Mitume 24:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 24:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Paulo Ajitetea Mbele Ya Feliksi
10 Gavana Feliksi alipomruhusu Paulo ajitetee, yeye alisema, “Najua kwamba wewe umekuwa hakimu katika taifa hili kwa miaka mingi kwa hiyo natoa utetezi wangu bila wasi wasi. 11 Unaweza kuhakikisha kwa urahisi kuwa hazijapita zaidi ya siku kumi na mbili tangu nilipokwenda Yerusalemu kuabudu. 12 Hawa wanaonish taki hawakunikuta nikibishana na mtu ye yote au nikianzisha fujo katika Hekalu au katika sinagogi au mahali pengine po pote mjini.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica