Font Size
Matendo Ya Mitume 17:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 17:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
31 Kwa kuwa amepanga siku ambayo atahukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua, ambaye amemhakikisha kwa watu wote kwa kumfufua kutoka kwa wafu.” 32 Waathene waliposikia juu ya ufufuo wa wafu, baadhi yao wakamdhihaki; lakini wengine wal isema, “Tutataka kusikia tena juu ya habari hii.” 33 Kwa hiyo Paulo akaondoka.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica