Wali pofika kwenye mpaka wa Misia walijaribu kuingia wilaya ya Bithi nia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu. Kwa hiyo wakaendelea na safari kupitia Misia, wakafika Troa. Usiku huo Paulo akaona katika ndoto, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Njoo Makedo nia ukatusaidie.”

Read full chapter