Font Size
Matendo 9:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Matendo 9:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
8 Sauli alisimama kutoka chini na kufumbua macho yake, lakini hakuweza kuona. Hivyo wale aliokuwa nao wakamshika mkono na kumwongoza kuingia Dameski. 9 Kwa siku tatu Sauli hakuweza kuona; hakula wala kunywa.
10 Alikuwepo mfuasi wa Yesu katika mji wa Dameski aliyeitwa Anania. Katika maono Bwana alimwita, “Anania!”
Anania alijibu, “Niko hapa, Bwana.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International