Wale waliokuwa wakisafiri na Sauli wakasimama kwa mshangao, wala hawakuweza kusema neno kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza. Sauli akainuka na alipojaribu kufungua macho, hakuweza kuona kitu. Basi wakamshika mkono wakamwongoza mpaka Dameski. Na kwa muda wa siku tatu akawa haoni kabisa, na hakula kitu wala kunywa cho chote.

Read full chapter

And the men which journeyed with him stood speechless, hearing a voice, but seeing no man.

And Saul arose from the earth; and when his eyes were opened, he saw no man: but they led him by the hand, and brought him into Damascus.

And he was three days without sight, and neither did eat nor drink.

Read full chapter

Meanwhile, the men traveling with him were speechless. They heard the voice but didn’t see anyone.

Saul was helped up from the ground. When he opened his eyes, he was blind. So his companions led him into Damascus. For three days he couldn’t see and didn’t eat or drink.

Read full chapter