Add parallel Print Page Options

Sauli akasema, “Wewe ni nani, Bwana?”

Sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu, unayemtesa. Simama sasa na uingie mjini. Mtu mmoja huko atakueleza unachopaswa kufanya.”

Wanaume waliokuwa wanasafiri pamoja na Sauli walisimama pale kimya. Waliisikia sauti, lakini hawakumwona yeyote.

Read full chapter