Add parallel Print Page Options

37 [a] 38 Ndipo Afisa akaamuru gari lake lisimame. Wote wawili, Filipo na Afisa, wakatelemka wakaingia kwenye maji na Filipo akambatiza towashi. 39 Walipotoka kwenye maji, Roho wa Bwana akamchukua Filipo; afisa hakumwona Filipo tena. Afisa aliendelea na safari yake kurudi nyumbani, akiwa mwenye furaha sana.

Read full chapter

Footnotes

  1. 8:37 Nakala zingine za baadaye za Matendo zimeongeza mstari wa 37: Filipo akajibu, “Ikiwa unaamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa. Ofisa akasema, ‘Ninaamini kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.’”