Font Size
Matendo 27:32-34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Matendo 27:32-34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
32 Hivyo askari wakakata kamba na kuuacha mtumbwi uanguke majini.
33 Kabla ya kupambazuka Paulo alianza kuwashawishi watu wote kula. Alisema, “Kwa wiki mbili mmekuwa mnasubiri na kuangalia, hamjala kwa siku kumi na nne. 34 Sasa ninawasihi mle chakula, mnakihitaji ili kuishi. Hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza hata unywele mmoja kutoka kwenye kichwa chake.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International