Add parallel Print Page Options

12 Festo alijadiliana na washauri wake kuhusu hili. Kisha akasema, “Umeomba kumwona Kaisari, basi utakwenda kwa Kaisari!”

Festo Amwuliza Mfalme Agripa Kuhusu Paulo

13 Siku chache baadaye Mfalme Agripa pamoja na dada yake aliyeitwa Bernike[a] walikuja Kaisaria kumtembelea Festo. 14 Walikaa huko kwa siku nyingi, na Festo akamwambia mfalme kuhusu kesi ya Paulo. Festo alisema, “Kuna mtu ambaye Feliki alimwacha gerezani.

Read full chapter

Footnotes

  1. 25:13 Bernike Dada yake Mfalme Agripa, binti mkubwa wa Herode Agripa wa Kwanza.