Add parallel Print Page Options

28 Lakini Paulo alipaza sauti akamwambia, “Usijidhuru! Sote tuko hapa!”

29 Mkuu wa gereza akaagiza aletewe taa. Kisha akakimbia kuingia ndani, akitetemeka kwa woga, akaanguka mbele ya Paulo na Sila. 30 Kisha akawatoa nje na kusema, “Nifanye nini ili niokoke?”

Read full chapter