Add parallel Print Page Options

Timotheo Afuatana na Paulo na Sila

16 Paulo alikwenda Derbe kisha Listra, ambako mfuasi wa Yesu aliyeitwa Timotheo aliishi. Mamaye Timotheo alikuwa mwamini wa Kiyahudi, lakini baba yake alikuwa Myunani. Waamini katika miji ya Listra na Ikonia walimsifu Timotheo kwa mambo mema.

Read full chapter