Font Size
Matendo Ya Mitume 7:59-60
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 7:59-60
Neno: Bibilia Takatifu
59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, Bwana Yesu, pokea roho yangu!” 60 Akapiga magoti akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema haya, akafa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica