Matendo Ya Mitume 17:31
Neno: Bibilia Takatifu
31 Kwa kuwa amepanga siku ambayo atahukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua, ambaye amemhakikisha kwa watu wote kwa kumfufua kutoka kwa wafu.”
Read full chapter
Matendo 17:31
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
31 Amekwisha chagua siku ambayo atawahukumu watu wote ulimwenguni katika namna isiyo na upendeleo. Atafanya hili kwa kumtumia mtu aliyemchagua zamani zilizopita. Na alithibitisha kwa kila mtu kwamba huyu ndiye mtu atakayefanya. Alilithibitisha kwa kumfufua kutoka kwa wafu!”

Read full chapterCopyright © 1989 by Biblica
Copyright © 2017 by Bible League International