Yesu Amponya Mtu Aliyepooza

Yesu akaingia katika mashua akavuka ziwa, akafika katika mji wa kwao. Watu wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye kitanda chake. Yesu alipoona imani yao, akamwambia yule mtu ali yepooza, “Mwanangu, jipe moyo; dhambi zako zimesamehewa.” Baadhi ya walimu wa sheria wakawaza moyoni mwao, “Huyu mtu anakufuru!”

Read full chapter