Matayo 5
Neno: Bibilia Takatifu
Yerusalemu, Yudea na kutoka ng’ambo ya mto Yordani.
5 Yesu alipoona umati wa watu, alipanda mlimani akaketi chini. Wanafunzi wake wakamjia, 2 naye akaanza kuwafundisha akisema:
3 “Wamebarikiwa walio maskini wa roho; maana Ufalme wa mbin guni ni wao. 4 Wamebarikiwa wanaoomboleza; maana watafarijiwa. 5 Wamebarikiwa walio wapole; maana watairithi nchi. 6 Wamebari kiwa wenye hamu ya kutenda haki; maana wataridhishwa. 7 Wamebari kiwa walio na huruma; maana nao watahurumiwa. 8 Wamebarikiwa walio na moyo safi; maana watamwona Mungu. 9 Wamebarikiwa walio wapatanishi; maana wataitwa wana wa Mungu. 10 Wamebarikiwa wanaoteswa kwa kutenda haki; maana Ufalme wa mbinguni ni wao.
11 Mmebarikiwa ninyi wakati watu watakapowatukana na kuwatesa na kuwasingizia maovu kwa ajili yangu. 12 Shangilieni na kufurahi, kwa maana zawadi yenu huko mbinguni ni kubwa; kwa kuwa ndivyo walivyowatesa manabii waliowatangulia ninyi.
13 “Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, haiwezekani kuwa chumvi tena. Haifai kwa kitu cho chote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.
14 “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kwenye mlima haufichiki. 15 Wala hakuna mtu anayewasha taa kisha akaifunika. Badala yake, huiweka mahali pa juu ili itoe mwanga kwa kila mtu aliyemo ndani ya nyumba. 16 Hali kadhalika, nuru yenu iwaangazie watu ili waone matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbin guni.’
Mafundisho Kuhusu Sheria
17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. 19 Kwa hiyo ye yote atakayelegeza hata mojawapo ya amri ndogo kuliko amri zote na akawafundisha wengine kufanya hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika Ufalme wa mbinguni. Sikuja kuzifuta bali kuzitimiza. 18 Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni. 20 Kwa maana nawaambieni, ikiwa haki yenu haitazidi haki ya waandishi wa sheria na Mafari sayo, hamtaingia katika Ufalme wa mbinguni kamwe.”
Mafundisho Kuhusu Hasira
21 “Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, ‘Usiue; na ye yote atakayeua atastahili hukumu.’ 22 Lakini mimi nawaambia kwamba, ye yote atakayemkasirikia ndugu yake atasta hili hukumu; na ye yote atakayemtukana ndugu yake, atashtakiwa katika baraza; na ye yote atakayemwambia ndugu yake, ‘Wewe mjinga,’ atastahili hukumu ya moto wa Jehena.
23 “Basi, kama ulikuwa tayari kutoa sadaka yako madhaba huni, ukakumbuka kuwa ndugu yako amekukasirikia, 24 acha sadaka yako hapo hapo, uende kwanza ukapatane naye, kisha urudi kumtolea Mungu sadaka yako. 25 “Mtu akikushtaki, patana naye kabla hamjafika mahaka mani; ili mshtaki wako asije akakukabidhi kwa hakimu, na hakimu akamwamuru askari akufunge gerezani; 26 nami nawaambia hakika, hutatoka huko mpaka deni lako lote litakapolipwa.”
Mafundisho Kuhusu Uzinzi
27 “Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, ‘Usi zini’. 28 Lakini mimi nawaambia: ye yote atakayemwangalia mwa namke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kulia likikufanya utende dhambi, ling’oe ulitu pilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena. 30 Na kama mkono wako wa kuume ukiku fanya utende dhambi, ukate uutupilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena.
31 “Pia mliambiwa kwamba, ‘Mtu ye yote anayemwacha mkewe ampe talaka.’ 32 Lakini mimi nawaambia, ye yote atakayempa mkewe talaka isipokuwa kwa kosa la uasherati, anamfanya mkewe mzinzi. Na ye yote atakayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anazini.”
Mafundisho Kuhusu Kuapa
33 “Tena mmesikia watu wa kale waliambiwa kwamba, ‘Usi vunje kiapo chako bali umtimizie Mungu kama ulivyoapa kutenda.’ 34 Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa sababu ni kiti cha enzi cha Mungu, 35 au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalemu kwa sababu ndio mji wa Mfalme mkuu. 36 Na msiape kwa vichwa vyenu kwa sababu hamwezi kugeuza hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. 37 Ukisema ‘Ndio’ basi iwe ‘Ndio’; na ukisema ‘Hapana’ basi iwe ‘ Hapana.’ Lo lote zaidi ya haya hutoka kwa yule mwovu.”
Mafundisho Kuhusu Kulipiza Kisasi
38 “Mmesikia kuwa watu zamani walikuwa wakisema, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39 Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini mtu akikupiga kwenye shavu la kulia, mgeuzie na shavu la kushoto pia; 40 na kama mtu akitaka kukushtaki achukue shati lako, mwachie achukue na koti pia. 41 Na kama mtu akikulazimisha uende kilometa moja naye, fanya zaidi, nenda naye kilometa mbili. 42 Mtu akikuomba kitu mpe, na usikatae kumsaidia mtu anayetaka kukukopa.”
Wapendeni Maadui Zenu
43 “Mmesikia kuwa watu zamani walikuwa wakisema, ‘Umpende jirani yako na umchukie adui yako.’ 44 Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa, 45 ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaanga zia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki. 46 Kama mkiwapenda wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Hata wenye dhambi hufanyiana hivyo. 47 Na kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya nini zaidi ya wengine? Hata watu wa mataifa wasiomjua Mungu, hufanya hivyo. 48 Kwa hiyo inawapasa ninyi muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.”
Matthew 5
New International Version
Introduction to the Sermon on the Mount
5 Now when Jesus saw the crowds, he went up on a mountainside and sat down. His disciples came to him, 2 and he began to teach them.
The Beatitudes(A)
He said:
3 “Blessed are the poor in spirit,
for theirs is the kingdom of heaven.(B)
4 Blessed are those who mourn,
for they will be comforted.(C)
5 Blessed are the meek,
for they will inherit the earth.(D)
6 Blessed are those who hunger and thirst for righteousness,
for they will be filled.(E)
7 Blessed are the merciful,
for they will be shown mercy.(F)
8 Blessed are the pure in heart,(G)
for they will see God.(H)
9 Blessed are the peacemakers,(I)
for they will be called children of God.(J)
10 Blessed are those who are persecuted because of righteousness,(K)
for theirs is the kingdom of heaven.(L)
11 “Blessed are you when people insult you,(M) persecute you and falsely say all kinds of evil against you because of me.(N) 12 Rejoice and be glad,(O) because great is your reward in heaven, for in the same way they persecuted the prophets who were before you.(P)
Salt and Light
13 “You are the salt of the earth. But if the salt loses its saltiness, how can it be made salty again? It is no longer good for anything, except to be thrown out and trampled underfoot.(Q)
14 “You are the light of the world.(R) A town built on a hill cannot be hidden. 15 Neither do people light a lamp and put it under a bowl. Instead they put it on its stand, and it gives light to everyone in the house.(S) 16 In the same way, let your light shine before others,(T) that they may see your good deeds(U) and glorify(V) your Father in heaven.
The Fulfillment of the Law
17 “Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them.(W) 18 For truly I tell you, until heaven and earth disappear, not the smallest letter, not the least stroke of a pen, will by any means disappear from the Law until everything is accomplished.(X) 19 Therefore anyone who sets aside one of the least of these commands(Y) and teaches others accordingly will be called least in the kingdom of heaven, but whoever practices and teaches these commands will be called great in the kingdom of heaven. 20 For I tell you that unless your righteousness surpasses that of the Pharisees and the teachers of the law, you will certainly not enter the kingdom of heaven.(Z)
Murder(AA)
21 “You have heard that it was said to the people long ago, ‘You shall not murder,[a](AB) and anyone who murders will be subject to judgment.’ 22 But I tell you that anyone who is angry(AC) with a brother or sister[b][c] will be subject to judgment.(AD) Again, anyone who says to a brother or sister, ‘Raca,’[d] is answerable to the court.(AE) And anyone who says, ‘You fool!’ will be in danger of the fire of hell.(AF)
23 “Therefore, if you are offering your gift at the altar and there remember that your brother or sister has something against you, 24 leave your gift there in front of the altar. First go and be reconciled to them; then come and offer your gift.
25 “Settle matters quickly with your adversary who is taking you to court. Do it while you are still together on the way, or your adversary may hand you over to the judge, and the judge may hand you over to the officer, and you may be thrown into prison. 26 Truly I tell you, you will not get out until you have paid the last penny.
Adultery
27 “You have heard that it was said, ‘You shall not commit adultery.’[e](AG) 28 But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.(AH) 29 If your right eye causes you to stumble,(AI) gouge it out and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to be thrown into hell. 30 And if your right hand causes you to stumble,(AJ) cut it off and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to go into hell.
Divorce
31 “It has been said, ‘Anyone who divorces his wife must give her a certificate of divorce.’[f](AK) 32 But I tell you that anyone who divorces his wife, except for sexual immorality, makes her the victim of adultery, and anyone who marries a divorced woman commits adultery.(AL)
Oaths
33 “Again, you have heard that it was said to the people long ago, ‘Do not break your oath,(AM) but fulfill to the Lord the vows you have made.’(AN) 34 But I tell you, do not swear an oath at all:(AO) either by heaven, for it is God’s throne;(AP) 35 or by the earth, for it is his footstool; or by Jerusalem, for it is the city of the Great King.(AQ) 36 And do not swear by your head, for you cannot make even one hair white or black. 37 All you need to say is simply ‘Yes’ or ‘No’;(AR) anything beyond this comes from the evil one.[g](AS)
Eye for Eye
38 “You have heard that it was said, ‘Eye for eye, and tooth for tooth.’[h](AT) 39 But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also.(AU) 40 And if anyone wants to sue you and take your shirt, hand over your coat as well. 41 If anyone forces you to go one mile, go with them two miles. 42 Give to the one who asks you, and do not turn away from the one who wants to borrow from you.(AV)
Love for Enemies
43 “You have heard that it was said, ‘Love your neighbor[i](AW) and hate your enemy.’(AX) 44 But I tell you, love your enemies and pray for those who persecute you,(AY) 45 that you may be children(AZ) of your Father in heaven. He causes his sun to rise on the evil and the good, and sends rain on the righteous and the unrighteous.(BA) 46 If you love those who love you, what reward will you get?(BB) Are not even the tax collectors doing that? 47 And if you greet only your own people, what are you doing more than others? Do not even pagans do that? 48 Be perfect, therefore, as your heavenly Father is perfect.(BC)
Footnotes
- Matthew 5:21 Exodus 20:13
- Matthew 5:22 The Greek word for brother or sister (adelphos) refers here to a fellow disciple, whether man or woman; also in verse 23.
- Matthew 5:22 Some manuscripts brother or sister without cause
- Matthew 5:22 An Aramaic term of contempt
- Matthew 5:27 Exodus 20:14
- Matthew 5:31 Deut. 24:1
- Matthew 5:37 Or from evil
- Matthew 5:38 Exodus 21:24; Lev. 24:20; Deut. 19:21
- Matthew 5:43 Lev. 19:18
Matthew 5
King James Version
5 And seeing the multitudes, he went up into a mountain: and when he was set, his disciples came unto him:
2 And he opened his mouth, and taught them, saying,
3 Blessed are the poor in spirit: for theirs is the kingdom of heaven.
4 Blessed are they that mourn: for they shall be comforted.
5 Blessed are the meek: for they shall inherit the earth.
6 Blessed are they which do hunger and thirst after righteousness: for they shall be filled.
7 Blessed are the merciful: for they shall obtain mercy.
8 Blessed are the pure in heart: for they shall see God.
9 Blessed are the peacemakers: for they shall be called the children of God.
10 Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.
11 Blessed are ye, when men shall revile you, and persecute you, and shall say all manner of evil against you falsely, for my sake.
12 Rejoice, and be exceeding glad: for great is your reward in heaven: for so persecuted they the prophets which were before you.
13 Ye are the salt of the earth: but if the salt have lost his savour, wherewith shall it be salted? it is thenceforth good for nothing, but to be cast out, and to be trodden under foot of men.
14 Ye are the light of the world. A city that is set on an hill cannot be hid.
15 Neither do men light a candle, and put it under a bushel, but on a candlestick; and it giveth light unto all that are in the house.
16 Let your light so shine before men, that they may see your good works, and glorify your Father which is in heaven.
17 Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil.
18 For verily I say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled.
19 Whosoever therefore shall break one of these least commandments, and shall teach men so, he shall be called the least in the kingdom of heaven: but whosoever shall do and teach them, the same shall be called great in the kingdom of heaven.
20 For I say unto you, That except your righteousness shall exceed the righteousness of the scribes and Pharisees, ye shall in no case enter into the kingdom of heaven.
21 Ye have heard that it was said of them of old time, Thou shalt not kill; and whosoever shall kill shall be in danger of the judgment:
22 But I say unto you, That whosoever is angry with his brother without a cause shall be in danger of the judgment: and whosoever shall say to his brother, Raca, shall be in danger of the council: but whosoever shall say, Thou fool, shall be in danger of hell fire.
23 Therefore if thou bring thy gift to the altar, and there rememberest that thy brother hath ought against thee;
24 Leave there thy gift before the altar, and go thy way; first be reconciled to thy brother, and then come and offer thy gift.
25 Agree with thine adversary quickly, whiles thou art in the way with him; lest at any time the adversary deliver thee to the judge, and the judge deliver thee to the officer, and thou be cast into prison.
26 Verily I say unto thee, Thou shalt by no means come out thence, till thou hast paid the uttermost farthing.
27 Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not commit adultery:
28 But I say unto you, That whosoever looketh on a woman to lust after her hath committed adultery with her already in his heart.
29 And if thy right eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
30 And if thy right hand offend thee, cut it off, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
31 It hath been said, Whosoever shall put away his wife, let him give her a writing of divorcement:
32 But I say unto you, That whosoever shall put away his wife, saving for the cause of fornication, causeth her to commit adultery: and whosoever shall marry her that is divorced committeth adultery.
33 Again, ye have heard that it hath been said by them of old time, Thou shalt not forswear thyself, but shalt perform unto the Lord thine oaths:
34 But I say unto you, Swear not at all; neither by heaven; for it is God's throne:
35 Nor by the earth; for it is his footstool: neither by Jerusalem; for it is the city of the great King.
36 Neither shalt thou swear by thy head, because thou canst not make one hair white or black.
37 But let your communication be, Yea, yea; Nay, nay: for whatsoever is more than these cometh of evil.
38 Ye have heard that it hath been said, An eye for an eye, and a tooth for a tooth:
39 But I say unto you, That ye resist not evil: but whosoever shall smite thee on thy right cheek, turn to him the other also.
40 And if any man will sue thee at the law, and take away thy coat, let him have thy cloak also.
41 And whosoever shall compel thee to go a mile, go with him twain.
42 Give to him that asketh thee, and from him that would borrow of thee turn not thou away.
43 Ye have heard that it hath been said, Thou shalt love thy neighbour, and hate thine enemy.
44 But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;
45 That ye may be the children of your Father which is in heaven: for he maketh his sun to rise on the evil and on the good, and sendeth rain on the just and on the unjust.
46 For if ye love them which love you, what reward have ye? do not even the publicans the same?
47 And if ye salute your brethren only, what do ye more than others? do not even the publicans so?
48 Be ye therefore perfect, even as your Father which is in heaven is perfect.
Matthew 5
English Standard Version
The Sermon on the Mount
5 Seeing the crowds, (A)he went up on the mountain, and when he (B)sat down, his disciples came to him.
The Beatitudes
2 And (C)he opened his mouth and taught them, saying:
3 (D)“Blessed are (E)the poor in spirit, for (F)theirs is the kingdom of heaven.
4 “Blessed are (G)those who mourn, for they shall be comforted.
5 “Blessed are the (H)meek, for they (I)shall inherit the earth.
6 “Blessed are those who hunger and (J)thirst (K)for righteousness, for they shall be satisfied.
7 “Blessed are (L)the merciful, for they shall receive mercy.
8 “Blessed are (M)the pure in heart, for (N)they shall see God.
9 “Blessed are (O)the peacemakers, for (P)they shall be called (Q)sons[a] of God.
10 (R)“Blessed are those who are persecuted for righteousness' sake, for (S)theirs is the kingdom of heaven.
11 (T)“Blessed are you when others revile you and persecute you and utter all kinds of evil against you falsely (U)on my account. 12 (V)Rejoice and be glad, for your reward is great in heaven, for (W)so they persecuted the prophets who were before you.
Salt and Light
13 “You are the salt of the earth, (X)but if salt has lost its taste, how shall its saltiness be restored? It is no longer good for anything except to be thrown out and trampled under people's feet.
14 (Y)“You are the light of the world. A city set on a hill cannot be hidden. 15 (Z)Nor do people light a lamp and put it under a basket, but on a stand, and it gives light to all in the house. 16 In the same way, let your light shine before others, so (AA)that[b] they may see your good works and (AB)give glory to your Father who is in heaven.
Christ Came to Fulfill the Law
17 (AC)“Do not think that I have come to abolish (AD)the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but (AE)to fulfill them. 18 For truly, I say to you, (AF)until heaven and earth pass away, not an iota, not a dot, will pass from the Law until all is accomplished. 19 (AG)Therefore whoever relaxes (AH)one of the least of these commandments and teaches others to do the same will be called least (AI)in the kingdom of heaven, but whoever does them and teaches them will be called great (AJ)in the kingdom of heaven. 20 For I tell you, unless your righteousness exceeds (AK)that of the scribes and Pharisees, you (AL)will never enter the kingdom of heaven.
Anger
21 (AM)“You have heard that it was said to those of old, (AN)‘You shall not murder; and whoever murders will be liable (AO)to judgment.’ 22 But I say to you that (AP)everyone who is angry with his brother[c] will be liable (AQ)to judgment; whoever insults[d] his brother will be liable to the council; and whoever says, ‘You fool!’ will be liable to (AR)the hell[e] of fire. 23 (AS)So if (AT)you are offering your gift at the altar and there remember that your brother has something against you, 24 leave your gift there before the altar and go. First be reconciled to your brother, and then come and offer your gift. 25 (AU)Come to terms quickly with your accuser while you are going with him to court, lest your accuser hand you over to the judge, and the judge to the guard, and you be put in prison. 26 Truly, I say to you, (AV)you will never get out until you have paid the last penny.[f]
Lust
27 (AW)“You have heard that it was said, (AX)‘You shall not commit adultery.’ 28 But I say to you that (AY)everyone who looks at a woman with lustful intent has already committed adultery with her in his heart. 29 (AZ)If your right eye (BA)causes you to sin, tear it out and throw it away. For it is better that you lose one of your members than that your whole body be thrown into (BB)hell. 30 (BC)And if your right hand (BD)causes you to sin, cut it off and throw it away. For it is better that you lose one of your members than that your whole body go into (BE)hell.
Divorce
31 (BF)“It was also said, (BG)‘Whoever divorces his wife, let him give her a certificate of divorce.’ 32 (BH)But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and (BI)whoever marries a divorced woman commits adultery.
Oaths
33 “Again (BJ)you have heard that it was said to those of old, (BK)‘You shall not swear falsely, but (BL)shall perform to the Lord what you have sworn.’ 34 But I say to you, (BM)Do not take an oath at all, either by heaven, for (BN)it is the throne of God, 35 or by the earth, for it is his footstool, or by Jerusalem, for it is (BO)the city of the great King. 36 And do not take an oath by your head, for you cannot make one hair white or black. 37 Let what you say be simply ‘Yes’ or ‘No’; (BP)anything more than this comes from evil.[g]
Retaliation
38 (BQ)“You have heard that it was said, (BR)‘An eye for an eye and a tooth for a tooth.’ 39 But I say to you, (BS)Do not resist the one who is evil. But (BT)if anyone (BU)slaps you on the right cheek, turn to him the other also. 40 And (BV)if anyone would sue you and take your tunic,[h] let him have your cloak as well. 41 And if anyone (BW)forces you to go one mile, go with him two miles. 42 (BX)Give to the one who begs from you, and (BY)do not refuse the one who would borrow from you.
Love Your Enemies
43 (BZ)“You have heard that it was said, (CA)‘You shall love your neighbor and hate your enemy.’ 44 But I say to you, (CB)Love your enemies and (CC)pray for those who persecute you, 45 (CD)so that you may be sons of your Father who is in heaven. For he makes his sun rise on the evil and on the good, and (CE)sends rain on the just and on the unjust. 46 (CF)For if you love those who love you, what reward do you have? Do not even the tax collectors do the same? 47 And if you greet only your brothers,[i] what more are you doing than others? Do not even (CG)the Gentiles do the same? 48 (CH)You therefore must be (CI)perfect, (CJ)as your heavenly Father is perfect.
Footnotes
- Matthew 5:9 Greek huioi; see Preface
- Matthew 5:16 Or house. 16 Let your light so shine before others that
- Matthew 5:22 Some manuscripts insert without cause
- Matthew 5:22 Greek says Raca to (a term of abuse)
- Matthew 5:22 Greek Gehenna; also verses 29, 30
- Matthew 5:26 Greek kodrantes, Roman copper coin (Latin quadrans) worth about 1/64 of a denarius (which was a day's wage for a laborer)
- Matthew 5:37 Or the evil one
- Matthew 5:40 Greek chiton, a long garment worn under the cloak next to the skin
- Matthew 5:47 Or brothers and sisters. In New Testament usage, depending on the context, the plural Greek word adelphoi (translated “brothers”) may refer either to brothers or to brothers and sisters
Copyright © 1989 by Biblica
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.
The ESV® Bible (The Holy Bible, English Standard Version®), © 2001 by Crossway, a publishing ministry of Good News Publishers. ESV Text Edition: 2025.

