kwa maana Mwana wa Adamu ni Bwana wa sabato.”

Yesu Anamponya Mtu Aliyepooza Mkono

Yesu alipoondoka hapo, aliingia katika sinagogi lao. Huko alikuwepo mtu aliyepooza mkono . 10 Wakitafuta sababu ya kumsh taki, wakamwuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya sabato?”

Read full chapter