Nawaambieni wazi kwamba, aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. Na kama mngalifahamu maana ya maneno haya, ‘Ninataka rehema wala si sadaka ya kuteketezwa;’ msingeliwalaumu watu wasio na hatia, kwa maana Mwana wa Adamu ni Bwana wa sabato.”

Read full chapter