Matayo 5:32
Neno: Bibilia Takatifu
32 Lakini mimi nawaambia, ye yote atakayempa mkewe talaka isipokuwa kwa kosa la uasherati, anamfanya mkewe mzinzi. Na ye yote atakayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anazini.”
Read full chapter
Mathayo 5:32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
32 Lakini ninawaambia kuwa, kila atakayemtaliki mkewe kutokana na sababu isiyohusiana na uzinzi, anamfanya mke wake kuwa mzinzi. Na kila atakayemwoa mwanamke aliyetalikiwa, atakuwa anazini.

Read full chapterCopyright © 1989 by Biblica
Copyright © 2017 by Bible League International