Matayo 4:21
Neno: Bibilia Takatifu
21 Alipoendelea mbele kidogo, aliwakuta ndugu wengine wawili, Yakobo na Yohana, wakiwa wamekaa kwenye mashua pamoja na baba yao Zebedayo wakishona nyavu zao; akawaita.
Read full chapter
Mathayo 4:21
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
21 Yesu akaendelea kutembea kutoka pale. Akawaona ndugu wengine wawili, Yakobo na Yohana wana wa Zebedayo. Walikuwa kwenye mashua pamoja na Zebedayo baba yao. Walikuwa wakiandaa nyavu zao za kuvulia samaki. Yesu akawaita wamfuate.

Read full chapterCopyright © 1989 by Biblica
Copyright © 2017 by Bible League International