Font Size
Marko 7:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 7:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Hakuna kitu kinachomwin gia mtu kutoka nje ambacho kinaweza kumfanya mchafu. Kitu kina chotoka ndani yake ndicho kinachomfanya mchafu. 16 Mwenye nia ya kusikia na asikie.”
17 Alipoachana na wale watu aliingia ndani. Wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mfano ule.
Read full chapter

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica