Font Size
Marko 4:21
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 4:21
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Zingatieni Nuru
(Lk 8:16-18)
21 Yesu akawaambia, “Unapoileta taa ndani[a] je unaiweka chini ya bakuli ama uvungu wa kitanda? Au unaileta ndani na kuiweka juu ya kitako cha taa?
Read full chapterFootnotes
- 4:21 taa ndani Yesu anafananisha mafundisho yake kama taa iliyoletwa chumbani penye giza.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International