Font Size
Marko 14:55-57
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:55-57
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
55 Viongozi wa makuhani na Baraza lote la Wayahudi walikuwa wakitafuta ushahidi dhidi ya Yesu wa kuweza kumhukumu kifo, lakini hawakupata kitu chochote. 56 Watu wengi walikuja na kutoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini wote walisema vitu tofauti. Ushahidi wao ulipingana.
57 Kisha wengine walisimama na kushuhudia kinyume chake kwa uongo, wakisema,
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International