Font Size
Marko 15:2-5
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 15:2-5
Neno: Bibilia Takatifu
2 Pilato akamwuliza, “Wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe ndiye uliyesema maneno hayo.” 3 Makuhani wakuu wakamsh taki kwa mambo mengi. 4 Pilato akamwuliza tena, “Huna la kujibu?
Unasikia mashtaka yao!”
5 Yesu hakusema neno. Pilato akashangaa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica