Font Size
Marko 10:11-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 10:11-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
11 Naye akawaambia, “yeyote atakayemtaliki mke wake na kuoa mwanamke mwingine, anazini kinyume cha mkewe. 12 Na ikiwa mke atamtaliki[a] mumewe na kuolewa na mume mwingine, basi naye anafanya zinaa.”[b]
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International