Font Size
Marko 1:12-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 1:12-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu Ajaribiwa na Shetani
(Mt 4:1-11; Lk 4:1-13)
12 Kisha baada ya kutokea mambo haya Roho Mtakatifu alimchukua Yesu na kumpeleka nyikani,[a] 13 naye akawa huko kwa siku arobaini, ambapo alijaribiwa na Shetani. Yesu alikuwa nyikani pamoja na wanyama wa porini, na malaika walimhudumia.
Read full chapterFootnotes
- 1:12 Roho Mtakatifu … nyikani Yaani Yesu aliondoshwa kwa nguvu na kupelekwa nyikani.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International