34 Jicho lako ni nuru ya mwili wako. Macho yakiwa mazima huan gaza mwili wako wote; lakini yakiwa mabovu, mwili wako pia uta kuwa katika giza. 35 Kwa hiyo hakikisha kwamba una nuru ndani yako, wala si giza. 36 Ikiwa mwili wako wote una nuru, bila sehemu yo yote kuwa gizani, basi utang’aa kabisa kama inavyokuwa wakati taa inapokuangazia.”

Read full chapter

34 Namna unavyowatazama watu inaonesha kwa hakika jinsi ulivyo. Unapowatazama watu katika hali isiyo ya ubinafsi, inaonesha wazi kuwa umejaa nuru. Lakini unapowatazama watu katika namna ya uchoyo, ni wazi kuwa umejaa giza.[a] 35 Hivyo iweni waangalifu ili nuru iliyo ndani yenu usiwe giza! 36 Ikiwa umejaa nuru na hakuna sehemu yenye giza ndani yako, basi utang'aa, kama nuru ya kwenye taa.”

Read full chapter

Footnotes

  1. 11:34 Kwa maana ya kawaida, “Taa ya mwili ni jicho lako. Unapowatazama watu bila kuwa na kinyongo, mwili wako wote unakuwa umejaa nuru. Lakini ikiwa jicho lako ni la uovu, mwili wako una giza.”

34 Your eye is the lamp of your body. When your eyes are healthy,[a] your whole body also is full of light. But when they are unhealthy,[b] your body also is full of darkness. 35 See to it, then, that the light within you is not darkness. 36 Therefore, if your whole body is full of light, and no part of it dark, it will be just as full of light as when a lamp shines its light on you.”

Read full chapter

Footnotes

  1. Luke 11:34 The Greek for healthy here implies generous.
  2. Luke 11:34 The Greek for unhealthy here implies stingy.

34 Your eye is the lamp of the body. When your eye is good, your whole body is full of light. But when it is bad, your body is full of darkness. 35 Therefore, see to it that the light that is in you is not darkness. 36 So if your whole body is full of light, without any dark part, it will be completely full of light, as when a lamp shines on you with bright light.”

Read full chapter