Font Size
Luka 8:16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 8:16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Zingatieni Nuru
(Mk 4:21-25)
16 Hakuna mtu anayewasha taa na kuifunika kwa bakuli au kuificha uvunguni mwa kitanda. Badala yake huiweka kwenye kinara cha taa mahali palipo wazi, ili wanaoingia ndani wapate nuru ya kuwawezesha kuona.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International