Font Size
Luka 6:27-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 6:27-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Wapende Adui Zako
(Mt 5:38-48; 7:12a)
27 Lakini ninawaambia ninyi mnaonisikiliza, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wale wanaowachukia. 28 Mwombeni Mungu awabariki wale wanaowalaani ninyi, waombeeni wale wanaowaonea.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International