Font Size
Luka 6:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 6:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Kisha akawatazama wanafunzi wake akasema, “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini kwa sababu Ufalme wa mbinguni ni wenu! 21 Mmebarikiwa ninyi mlio na njaa sasa, kwa sababu mtashibishwa! Mmebarikiwa ninyi mnaolia sasa, kwa sababu mtacheka. 22 Mmebari kiwa ninyi watu watakapowachukia na kuwakataa na kuwatukana na kuharibu sifa yenu kwa ajili yangu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica