19 Simameni imara nanyi mtaokoa nafsi zenu.”

Kuteketezwa Kwa Yerusalemu

20 “Mkiona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, faham uni kwamba karibu utaangamizwa. 21 Wakati huo, wale walio Yudea wakimbilie milimani; walio mjini Yerusalemu waondoke humo na wale walioko mashambani wasije mjini.

Read full chapter