Font Size
Luka 15:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 15:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Yule kaka akakasi rika, akakataa kuingia ndani. Basi baba yake akaenda nje akaanza kumbembeleza. 29 Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Angalia, miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana mbuzi ili nisherehekee na mara fiki zangu. 30 1Lakini huyu mwanao ambaye ametapanya mali yako kwa makahaba amerudi nyumbani nawe umemchinjia ndama aliyenona!’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica