Add parallel Print Page Options

37 Mungu anaweza kufanya jambo lolote!”

38 Mariamu akasema, “Mimi ni mtumishi wa Bwana, basi jambo hili litokee kwangu kama ulivyosema.” Kisha malaika akaondoka.

Mariamu Amtembelea Elizabeti

39 Mariamu akajiandaa na kwenda haraka katika mji mmoja ulio vilimani katika jimbo la Yuda.

Read full chapter